Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama aangalie. Hawatakawia kumpachika u-Vasco da Gama sasa hivi. Wabongo hawajui nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Bora awe Vasco Da Gama lakini watanzania tupate uhuru wa kukosoa utendaji wa serikali yake, kuliko ajifungie nyumbani huku akiamrisha vikosi vya wasiojulikana watupoteze kama alivyofanya mtangulizi wake.

Au unalionaje hilo kamanda?
Maana uhuru na uhai wetu ni kitu muhimu sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…