Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nakuhakikishia mi ndo kikongwe wenu kuliko nyote, subiri uone utakavyonimwagia shikamoo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mwaliko nimeupokea rasmi kwa mikono miwili. Tuombe uzima tu. Tena sote wawili tutakwenda kwa mzee wa Mwakaleli moja tukatandike ugali huko. Itakuwa safi sana. Na tutawawekea wanajukwaa hapa picha kabisa wajionee. Mhenga senior na wahenga juniors [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mwanangu. Wewe likely uko between 25 - 31. Ni wazi nakuzidi miaka kati ya 45 - 51.
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala BoraWaziri wa wizara gani huyu?
Kuhusu gesi, nimeipenda hiyo.