Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Mshambuliaji wa England Harry Kane kwa mara nyengine ameambia Tottenham anataka kuondoka katika klabu hiyo ya ligi ya Premia mwisho wa msimu huu. Manchester City, Chelsea na Man United zimeonesha hamu ya kumsaini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27.(Sky Sports)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…