Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unafuatilia kwa karibu, Karibu SSCboss wao sasa eti alipanga kujinunulia gari za bei mbaya baada ya kipigo kahairiaha kujipa zawadi yupo busy kuwahaidi wachezaji kila goli milion kadhaa
Jukwaa la sport is my second home😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unafuatilia kwa karibu, Karibu SSC
Imagine nmekaa kwenye foleni kusubiri kununua umeme kwa zaidi ya masaa manneOur hero tanesco wamekwamisha harakati za kufuta legacy ya mwendazake
poleni sana hapa nasoma unit ipo 35.9 naitumia taratiiibuu ikiisha ntaungana nanyi kuilaumu tanescoImagine nmekaa kwenye foleni kusubiri kununua umeme kwa zaidi ya masaa manne
Zinafanya kazi kwenye ofisi za Tanesco pekee, na kwa mawakala wachache, mfano eneo nililopo ni mkoani na kwa wakala mmoja tu.. Mkoa mzima... Mambo ya ajabu sanaLuku zimeanza kufanya kazi?
Hizo ni nyingi sana, mimi umekata toka jana, sikuwa najua shida ni nini.. Asantepoleni sana hapa nasoma unit ipo 35.9 naitumia taratiiibuu ikiisha ntaungana nanyi kuilaumu tanesco
nimeona folen ndeeefu mno town watu wamechoka balaa ile kusubiri tuZinafanya kazi kwenye ofisi za Tanesco pekee, na kwa mawakala wachache, mfano eneo nililopo ni mkoani na kwa wakala mmoja tu.. Mkoa mzima... Mambo ya ajabu sana
Hizo ni nyingi sana, mimi umekata toka jana, sikuwa najua shida ni nini.. Asante