D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
munatusingizia sisi wapemba waislamu tunatoza mahari mengi kumbe nanyi ndio mabingwaAndaa angalau ng'ombe 50 hivi (au angalau laki moja na elfu hamsini kwa kila ng'ombe)
Muda wa kuchezea kichapo eeh!? Sasa huwezi kuwasikia. Ngoja wakipigwa hamsa ndo utawaona hapa na visingizio lukuki.Bro moudgulf muda ndio huu [emoji28]
ππππππππninge kakamatikaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wasuku wako na mabinti poa sana wakarimu
#nmekamatikakwamsukumammoja
Hapana. Ukiambiwa ng'ombe 50 unanegoshieti sasa kila ng'ombe awe sh. ngapi. Unaweza kupigwa laki moja kila ng'ombe (milioni 5), elfu hamsini kila ng'ombe (milioni 2.5) na kuendelea. Kama familia na binti wanakukubali mtaelewana tu!munatusingizia sisi wapemba waislamu tunatoza mahari mengi kumbe nanyi ndio mabingwa
ng'ombe 50 ni millioni 20 kwenda juu kwa bei ya Zenji
Usinisahau sis. Tumetoka mbali sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16]Nimeula jamani nipeni pongezi [emoji1787][emoji1787]
Natania bana ππUsinisahau sis. Tumetoka mbali sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16]
Hata mimi natania. Watu wakiula hawasemagi. Kuna mtu humu namfahamu ameula sana tu hivi karibuni lakini kimyaaa kauchuna [emoji16]Natania bana [emoji23][emoji23]
Kabisa huwaga ni kimya kimya hautasikia chochoteHata mimi natania. Watu wakiula hawasemagi. Kuna mtu humu namfahamu ameula sana tu hivi karibuni lakini kimyaaa kauchuna [emoji16]
Hongera sana kgothaloNimeula jamani nipeni pongezi π€£π€£
Pilau Numbisa ππHongera sana kgothalo
#sijuiUmeulanini
#wali
#pilau
#ama
maskini masai wa watuZANZIBAR YAPOKEA VIFAA VYA KUPIMA #COVID19 VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 250
Vifaa hivyo ni vya Kampuni ya SD Biosensor ya Korea na vina uwezo wa kutoa majibu ndani ya Dakika 15
#Zanzibar imesema itaongeza wigo wa upimaji kwa Wananchi
=========
View attachment 1794042
- aghlabu kumuona mgeni na barakoa huku visiwani,
- ramadhani nilitembelea soko la darajani, licha ya kukutana na wageni wengi sana ndani ya muda mfupi ni mchina pekee akiwa na mwanawe ndiye aliyevaa barakoa.
- zanzibar hakuna corona
- karibuni zanzibar ila ushamba muutupe kule
- kuna mmasai alitapeliwa pesa na wajanja, aliingizwa msikiti wa mabluu (upo kwenye maji) mwenyewe alidhani ni meli ya kwenda dar-es salaam
- aiseee mbona rimeli lipo hapa hapaaaaa
- hata wageni hawavai barakoa na wala hawatuogopi
- tunapanda nao daladala za 400 kama kawaida
πππππππjamaniPilau Numbisa ππ
hapo afadhaliHapana. Ukiambiwa ng'ombe 50 unanegoshieti sasa kila ng'ombe awe sh. ngapi. Unaweza kupigwa laki moja kila ng'ombe (milioni 5), elfu hamsini kila ng'ombe (milioni 2.5) na kuendelea. Kama familia na binti wanakukubali mtaelewana tu!
Kulitoa huko mpaka kulifikisha huko visitation ndo shida sasa.hapo afadhali
kama watu muna utajiri wa mifugo namna hiyo niwape heshima.
Naamini ndugu zangu wa kipemba wanafika huko vijijini kwenu kununua mifugo
huku kwetu ukileta dume wa maana wa ng'ombe una uhakika wa kupata laki 9 mpaka millioni 1.5
ukija zanzibar utashangaamaskini masai wa watu
Corona ni biashara na dili za watu. khna hela inapigwa hapo
na ndipo wengi wanaposhindwaKulitoa huko mpaka kulifikisha huko visitation ndo shida sasa.