Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ukija zanzibar utashangaa
hawa ndio wazungu wanaoimba wimbo wa corona huko kwao
hawavai barakoa wala barakowa.
wanachanganyika na waswahili bila ya presha
tena maeneo ya hatari kama sokoni
Wanatamani mno tunavyoishi huku ila ndo vile wapo kama jamaa wa jukwaa la siasa wasivyopenda kuona mwendazake akipewa sifa. nao wazungu inawachukiza kuona corona tumeidhibiti kienyeji enyeji na bado hatupukutiki kama wao
 
[emoji28][emoji28][emoji28] asante sana bro, huu ulinzi nimeupokea kwa mikono yote miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…