Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mie ntakua nampa family drama episode zote 50ila The Happiness nimemuona hukoooo akishuhudia simba anauawa na kaiza
yule BIBI MANUNU haeleweki kama halua ya mpemba
  1. akipata mchumba msukuma, anahama kabila lake
  2. akipata mchumba mpenda gemu, na yeye anapenda gemu
  3. akipata mchumba mpaka lipstick za wakorea, na yeye anahamia korea
  4. akipata mchumba anayependa man city, anahamia city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…