Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Katembelea nyota coco [emoji28][emoji28]coco kaula kiaina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππππππakipata mleta mapacha anamuweka akiba kwa matumizi ya mbelenyule BIBI MANUNU haeleweki kama halua ya mpemba
- akipata mchumba msukuma, anahama kabila lake
- akipata mchumba mpenda gemu, na yeye anapenda gemu
- akipata mchumba mpaka lipstick za wakorea, na yeye anahamia korea
- akipata mchumba anayependa man city, anahamia city
ππππππKatembelea nyota coco [emoji28][emoji28]
Hahahah mwezi ujao tunai renew tena, nyamilama lazma tuje, hizo zawadi nitunzie[emoji28][emoji28][emoji28]kimya kimya hata mie wa nyamilama hujanialika basi ungekuja hapa riyoma kunipa hata keki jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππkaribuHahahah mwezi ujao tunai renew tena, nyamilama lazma tuje, hizo zawadi nitunzie[emoji28][emoji28][emoji28]
SIMBA ANAONGOZA lakini anaongozwaHongera kaiza
Wazulu leo kazi wanayoπ―πππππππππ
halftime wamepewa ka unafuu wasijelalamika mbeleniSIMBA ANAONGOZA lakini anaongozwa
Acha fujo Numbisa situlikubaliana nimeula pilau π€£π€£balozi kgothaloooooπ₯°π₯°π₯°π₯°
Nimekamatika Bariadi bro, [emoji28][emoji28] toto moja matata sana, linafaa lipostiwe kule kwenye ule wanu wa malejendi(ule wa watoto wakali duniani)Umekamatika eeeh!
Ni cheupe?
Mwenye msambwanda?
Ni mrefu?
Amesoma?
Andaa angalau ng'ombe 50 hivi (au angalau laki moja na elfu hamsini kwa kila ng'ombe)
Ofishale karibu sana Usukumani bro. Mzee wa Mwakaleli anaweza kukupa mbinu zaidi za jinsi ya kuishi kwa amani na mabinti wa Kisukuma - wapole, wachapakazi, wenye roho safi na binadamu wema sana!
ππππππila manara ana tabia mbaya kawapa matumaini makubwaWazulu leo kazi wanayoπ―
ushaona wapi balozi anakula ugali siku kama ya leoπππππAcha fujo Numbisa situlikubaliana nimeula pilau π€£π€£
ππππππππcheeeiiiiNimekamatika Bariadi bro, [emoji28][emoji28] toto moja matata sana, linafaa lipostiwe kule kwenye ule wanu wa malejendi(ule wa watoto wakali duniani)
Mkeka wangu unaenda kutiki sasa, kumbe unapatikana nyamilama, sio igombe tena[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anakula pilau kukuushaona wapi balozi anakula ugali siku kama ya leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kudemka si kudemka. Nogambaki waitu? Omukazi wange ni mubarozi bojo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama namuona Coco vile
Kgothalo kuja hapaaaaaa
ni muda tu utanikuta nyarugusuπππππMkeka wangu unaenda kutiki sasa, kumbe unapatikana nyamilama, sio igombe tena[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni suala la muda tu..
Akija tutakuwa tunasherehekea Amapiano na Kaiza[emoji28][emoji28][emoji2]Kudemka si kudemka. Nogambaki waitu? Omukazi wange ni mubarozi bojo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
(Ngoja amalize Sabato yake tu. Moto ukija kuwawakia hapa miye kimyaaa [emoji2099][emoji2099])