moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AsantePoleni simba
pengine jirani alikuwa anajiandaa na teuzi.Jirani jirani,
njoo utupe pole, tangu juzi tunalala na uchumvu
πππππππpengine jirani alikuwa anajiandaa na teuzi.
unajua tokea waapishwe wakuu wa mikoa bwana jirani hajaonekana
huenda myoyambendi ndiye amos makalla
Ni mwanaharakati wa haki za wanawake nadhani. Yawezekana pia kasoma masomo yanayohusiana.nje ya urembo hakuwa na shughuli nyengine?
jamaniiiπππππTumeshamalizana nao. Tafiti za Esta hovyo tu !!!
Hahahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshamalizana nao. Tafiti za Esta hovyo tu !!!
kwa sasa balozi ni kama ka zawadi flani au tupio la wale wanaoshindwa kutumbuliwa huku bongo kama ilivyo kwa ubunge wa kupewaNi mwanaharakati wa haki za wanawake nadhani. Yawezekana pia kasoma masomo yanayohusiana.
Kuendesha ubalozi kamili nadhani ni kazi inayohitaji uzoefu na maarifa kidogo. Ila balozi zetu nyingi hazina msaada wo wote na hata sijui zina kazi gani!
Hahahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]
Esta anatusingizia.
Achana na utafiti wa mitandaoni, jaribu tafiti kwa njia mbadala[emoji2089][emoji2089]
jirani sijui atakua wapiWapi jirani
Rutta baada ya Mwendazake kwendazake ilibidi afunge ule uzi wake wa kuposti na kujijibu mwenyewe mahsusi kwa ajili ya kumponda mwendazake. Sasa kafungua mwingine wa kumsifia mama na mwendo ni ule ule - majadiliano pweke ya nafsi. Ananifurahishaga sana kamanda yule!vijimambo vya uzi wa likes
1. Ruta kaona likes hazilipi heee si kaibukia kwenye betting,kampuni za betting zinamkoma jamaa anakusanya timu mia kwa stake ya sh 1. ee bana kaona aah JF wanamtapel kafungua account insta ukitaka mkeka kamfollow
2. The happiness kapata bebi shabiki wa simba baaasi familia tumetupwa kuleeeeee
3. Oooh kwenye ubalozi hatujasahaulika kgothalo wetu katutoa kimasomaso
4. Ninge kaoa ninge kakamatika ninge wa kurudi home saaa mbili
5. Jirani kapotea,popote mtakapomuona mwambieni tumemisi pole na pongezi kwa wakati mmoja
6. Mashabiki wa simba ndani ya uzi huu muda huu saa kumi na moja wanailazimisha furaha ingawa moyoni wana majonzi nani wa kuwafuta machozi kaiza anawapa presha sana
nimi ripota wetu kutoka nyamhongolooooo
numby babe
πππππna hajali nani atasema hivi wala vileRutta baada ya Mwendazake kwendazake ilibidi afunge ule uzi wake wa kuposti na kujijibu mwenyewe mahsusi kwa ajili ya kumponda mwendazake. Sasa kafungua mwingine wa kumsifia mama na mwendo ni ule ule - majadiliano pweke ya nafsi. Ananifurahishaga sana kamanda yule!
Alcoholism is a terrible disease!
jamaa anagonga ngeli ya hatariπππππna hajali nani atasema hivi wala vile
Raha jipe mwenyewe ng'wanawane. Akichoka siasa anaanza kujadili Biblia. Mpaka utafurahi yaani [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hajali nani atasema hivi wala vile
ninachompendea, jamaa hana muda na ligi za kijingaRaha jipe mwenyewe ng'wanawane. Akichoka siasa anaanza kujadili Biblia. Mpaka utafurahi yaani [emoji16]
Ngeli ya kawaida tu mbona?jamaa anagonga ngeli ya hatari
sijui kasoma urusi