moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahahavijimambo vya uzi wa likes
1. Ruta kaona likes hazilipi heee si kaibukia kwenye betting,kampuni za betting zinamkoma jamaa anakusanya timu mia kwa stake ya sh 1. ee bana kaona aah JF wanamtapel kafungua account insta ukitaka mkeka kamfollow
2. The happiness kapata bebi shabiki wa simba baaasi familia tumetupwa kuleeeeee
3. Oooh kwenye ubalozi hatujasahaulika kgothalo wetu katutoa kimasomaso
4. Ninge kaoa ninge kakamatika ninge wa kurudi home saaa mbili
5. Jirani kapotea,popote mtakapomuona mwambieni tumemisi pole na pongezi kwa wakati mmoja
6. Mashabiki wa simba ndani ya uzi huu muda huu saa kumi na moja wanailazimisha furaha ingawa moyoni wana majonzi nani wa kuwafuta machozi kaiza anawapa presha sana
nimi ripota wetu kutoka nyamhongolooooo
numby babe
Jirani anawabaguaYaani pole za jirani zinagusa kila kona kila idara
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rutta baada ya Mwendazake kwendazake ilibidi afunge ule uzi wake wa kuposti na kujijibu mwenyewe mahsusi kwa ajili ya kumponda mwendazake. Sasa kafungua mwingine wa kumsifia mama na mwendo ni ule ule - majadiliano pweke ya nafsi. Ananifurahishaga sana kamanda yule!
Jamaa ana roho ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hajali nani atasema hivi wala vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha jipe mwenyewe ng'wanawane. Akichoka siasa anaanza kujadili Biblia. Mpaka utafurahi yaani [emoji16]
Napenda sana utaratibu wake huu.Na wala hatukani mtu. Hata akichokozwa namna gani. Ni mtu aliyekomaa vizuri ukimwingia kwa hoja inabidi ujipange vizuri.
Ndiyo basi tena,Kwa hiyo inakuwaje? Simba ndiyo wametolewa ama?
Poor him anaenda kuua kipaji chake
[emoji120][emoji120]Hata kama ni wafupi ila tumejitahidi leo japo tumetolewa
Hakuna uhusiano wa kuroga na matokeo ya uwanjani.Hahah!
Shukuruni asbh waliroga roga ndio mkaokoteamo hayo mabao matatu[emoji81]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hakuna mjita wala muhaya,"mkaokoteamo"...
Hili neno limenibariki sana,Itakuwa mjita wewe/mhaya
Kwa sabbu wana vimsamiati vya namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
π π π kumbe ndio wanasakafiaga hivyo.?
[emoji23][emoji23]
Nimependa cheni yake,"Tumetolewa lakini siyo kinyonge,
Kila mmoja ameona tulichofanya" CEO Barbara View attachment 1794431
Duuh!πWazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto. Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...www.jamiiforums.com