Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Masjid Aqsa
Jerusalem.

Kihistoria msikiti huu umejengwa na Nabii Suleiman bin Daud miaka mingi kabla Kristo.
Waislam wanautambua msikiti huu kama moja ya majengo matatu matakatifu baada ya Msikiti wa Makah (Haram) na Madina.(Madina an Nabawi)
Mayahudi pia wanautambua kama Hekalu muhimu kwenye dini yao.

Hivi karibuni msikiti huu umesababisha mapigano makali baina ya Israeli na Palestina.
 
Hekalu la Mfalme Sulemani. Watu wanaoamini katika unabii wa Ufunuo na Daniel kwenye Biblia wanaamini kuwa hekalu la Mfalme Sulemani ni lazima lijengwe kwanza kabla Yesu hajarudi. Ishu ni kwamba litajengwaje wakati juu kuna huo msikiti mtakatifu sana?

Wanaamini kwamba atakuja kutokea kiongozi mwenye bashasha (Trump alikuwa anatajwa) lakini mwenye nguvu sana ambaye ataupiga mabomu huo msikiti ili hekalu la Sulemani lijengwe. Kitendo hicho, hata hivyo, kitasababisha vita vya tatu vya dunia; vita ambavyo vitakuwa vikali mno na havitakoma mpaka Yesu Atakaporudi tena mara ya pili. Ndiyo maana fyoko fyoko hizi huwa zinaangaliwa kwa makini sana na watu mbalimbali kila kona duniani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa wanaona Giza wakifika golini.
Bila hivyo wangewanyuka sana mabao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu walikuwa wanaona mapaka meusi kibao kila wakilikaribia lango la Simba. Haiwezekani timu iliyowapepeta nne kwa nunge wiki jana tu leo ishindwe kufunga hata goli moja [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…