Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hongera sana naomba nitumie hii mkuu
Binti mpole sijapotea wewe si ndiyo umetuchomesha mahindi pale Gold Crest πππkijana mpole hujaacha tu ubishi. bro don alikua anakuulizia juzi kati hapa kwa kupotea kule
Nzuri, sijakuona siku nyingi ndio maana ππKwanini umestuka
Alicia keys wetu, habari za Uzima wako
Hali yangu si nzuri sana,pia hali ya mzee wangu ni mbaya.Mbona kiasi kulikoni
Huu ni ugali wa Kizaramo huu. Ugali wa Kisukuma huwa haupikwi hivi mpendwa. Huu wa kuchemsha uji kwanza huu labda wa mgonjwa. Ukiwapelekea wazee wa Kisukuma ugali wa namna hii watakupopoa mpendwa.
Oooh! Pole sana mtakatifu. Ni muda wa kuzama katika maombi na kufuata masharti ya madaktari. Mungu Atawaponyesha wewe na mzee wako [emoji1545][emoji1545]
Sitakaa nimsahau huyu. Gold Crest bro ni mzinga wa hoteli. Wiki nzima niko pale binti mpole hata JF haonekani. Kisa? Anonymous forevaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Binti mpole sijapotea wewe si ndiyo umetuchomesha mahindi pale Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee. Long time no see. Bila shaka chimbo lilichanganya. Nice to see you bro. Karibu tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wakuu habari za uzima wenu nyote nawasalimu katika jina la upendo na amani
Tupo mtaa mmoja vileπSitakaa nimsahau huyu. Gold Crest bro ni mzinga wa hoteli. Wiki nzima niko pale binti mpole hata JF haonekani. Kisa? Anonymous forevaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Pole anne. Ugua pole maombi mengi kwako na kwa mzee
Binti mpole sijapotea wewe si ndiyo umetuchomesha mahindi pale Gold Crest πππ
πππππππππSitakaa nimsahau huyu. Gold Crest bro ni mzinga wa hoteli. Wiki nzima niko pale binti mpole hata JF haonekani. Kisa? Anonymous forevaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Aisee hii ni mpya kwangu mpendwa ninachofahamu kabla ujasonga ugali kuna hatua zake kuweka maji kwenye sufuria,kuweka unga kiasi,kuacha mchanganyiko uchemke hatimaye kusonga.Usukumani mwapikaje ?Huu ni ugali wa Kizaramo huu. Ugali wa Kisukuma huwa haupikwi hivi mpendwa. Huu wa kuchemsha uji kwanza huu labda wa mgonjwa. Ukiwapelekea wazee wa Kisukuma ugali wa namna hii watakupopoa mpendwa.
Itabidi uje nikufundishe kupika ule ugali wenyewe ule halisi ambao mtu anaweza kula na akaenda kulima kwa masaa hata kumi shambani bila kuchoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee hii ni mpya kwangu mpendwa ninachofahamu kabla ujasonga ugali kuna hatua zake kuweka maji kwenye sufuria,kuweka unga kiasi,kuacha mchanganyiko uchemke hatimaye kusonga.Usukumani mwapikaje ?