Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

je kama alikua anakishughulikia kigenge kikapata sapoti yenu mkamgeuzia kibao?
Mmh, [emoji849][emoji849]
Rais ashindwe kushughulikia wavunja sheria kuogopa maneno ya walevi wa mitandaoni kweli jamani!!!?

Niwe mkweli, Kiongozi anayefurahia matukio kuteka, kutesa, kubambikia kesi, kufinya uhuru wa habari nitashiriki KUMNANGA.
 
 
I salute you Mkuu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mmh, [emoji849][emoji849]
Rais ashindwe kushughulikia wavunja sheria kuogopa maneno ya walevi wa mitandaoni kweli jamani!!!?

Niwe mkweli, Kiongozi anayefurahia matukio kuteka, kutesa, kubambikia kesi, kufinya uhuru wa habari nitashiriki KUMNANGA.
 
Mchepuko sidhani kama ana haki hiyo kwani ndoa ya jamaa ilikuwa haijavunjwa kisheria na pia kuna watoto kama sikosei.
Unajua kuna sheria furani hapa Tanzania, ni moja ya zile sheria tunaita za "kitwaahuti".

Kwamba ukiishi na mwanamke kwa muda furani hata kama ni mchepuko anaitwa mke wa ndoa ya kimila.
Sheria hiyo inatumika sana kuwakandamiza walioolewa kidini kwenye suala la mirathi
 
Sheria nyingi nchini zinatakiwa zifanyiwe marekebisho makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…