Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee..kura za bet ni kama wabunge wanavyomchagua speaker hio peoples choice ni kipengele kimoja tu. akina kigogo walitakiwa kuwapa elimu kubwa
mna kazi sana😂😂😂😂Aisee..
Nilifikiri ni kama ule ushindani wa rais bora Africa, ambapo waTz walimrundikia kura kwa kishindo Nana Akufo-Addo wa Ghana
Yap😎mna kazi sana😂😂😂😂
Hao ni akina nani, samahani mkuu.