andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hivi mtu akisema "akawa ananishika huku na kule" anakuwa ana maanisha nini Anko?Abui kafichwa mwenzangu,kuna binti atakua anazifaidi kucha peke ake mwendo wa ngwararaaa ngwaraaaa ka kucha kakikuna huku na kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nina uhakikaHuyu inawezekana umemzidiπ
anamaanisha anakaangwa kama samaki kaiva upande huu na uleππππHivi mtu akisema "akawa ananishika huku na kule" anakuwa ana maanisha nini Anko?
πππππππππjamani jamaninina uhakika
juzi nimeona anaulizia recipe za kupikia chai ya maziwa
babuu tafadhali niueeeetena anakuja kwa adabu zote akishapata humuoniππππ
ππππππbabuu tafadhali niueeee
naomba tamthilia nzuri
babu niueee
anakuwa mnyonge kama eunuch anapoomba msamaha kwa mfalme
Anko kipenzi [emoji137]Ankoo
Samaki?!! Samaki huyu huyu samaki? Yaani samaki samaki?anamaanisha anakaangwa kama samaki kaiva upande huu na ule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππjamaniiiiSamaki?!! Samaki huyu huyu samaki? Yaani samaki samaki?
Anko, samaki akikaangwa anabetuliwa betuliwa ili aive vizuri,kwahiyo inamaanisha samaki...huku na kule?!!
Aaah Samakiii...[emoji3][emoji3][emoji3]
πππππππππHuyu inawezekana umemzidiπ
Sio naniiπππnilisubiria huyo dada ajibu nimuone shabaaash kaibuka dae na birthday yake tumeishia hapa. Wewe dada yake coco huko ulipo wekapo basi hata ka like tena ka kopa tukutambuepo.