Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🙌👏🤝👍
huo mwaka pengine wazazi wangu ndio wanaadhimisha mwaka mmoja wa ndoa yao au ndio wameoana.
kwa maana hiyo moudgulf unagonga miaka 48.
respect

tunapotumia maneno makali dhidi yenu muwe munatusahihisha na si kuyavumilia.
 
Mi huenda nimewazidi wote hapa[emoji23]
Hata wale wanaojifanya vikongwe nawaangalia tu, siku wakiniona hawataamini macho yao[emoji23][emoji23]
 
kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru
Mlango wa Pili
Mirengo ya Kizalendo na Mapinduzi

Mapinduzi yalikuwa, kwa kiasi fulani ni kisasi dhidi ya utumwa, yaliofanywa na watu na kufanyiwa watu ambao hawahusiki na utumwa. —Yasmin AlibhaiBrown
------------------------
Fikra ya uzalendo ya Pan-Africanism ambayo ilikuwa ikiongozwa na hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa kila asiye “Muafrika” ni mgeni Afrika na kwa hiyo asiyekuwa na asili yenye kutoka bara la Afrika basi ni mgeni Zanzibar hata kama alizaliwa na alikuwa na mizizi mirefu ndani ya nchi hiyo.

Na aliyekuwa ana asili ya Kiafrika na hata kama hakuzaliwa na wala hana mizizi mirefu Zanzibar basi ana haki zaidi juu ya kuitawala Zanzibar kwa sababu ni “Muafrika.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…