Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a
aiseee watu wana nyota za biashara
 
dae akipata udc hatumpi bil anayotudai
nimesikia kuna nafasi mbili za vijana
yupo ndugu yake wa kiume samia suluhu huwa tunakaa maskani pamoja
ngoja nizidi kujipendekeza kwake
  1. anashabikia liverpool
  2. anaishi kwao
  3. anafundisha timu ya watoto
  4. umri wake unakaribia miaka 40
  5. jina lake maarufu ni KOPP
 
Hahaha Numbi bhana Shea yetu ipo [emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂😂😂kwenye fursa upo fasta.

dae mie bando tu gb 50 hivi utabarikiwa sana.

Ngoja nianze kuomba muungano uvunjwe boss dae atatupe kautajiri rafiki zake wa bara
na tumeshaanza kuichokonoa TFF
unadhani yule ali saleh anagombea uraisi bila ya plan

shirikisho la tanzania, eti kura zipigwe na watanganyika
tutakutana mahakamani FIFA
na billioni 1 yangu mutanipa
 
Yangu nayo ipande dae nilianza na M 50
 
Sawasawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…