Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hospitalini

Amina;-- Tumbo linaniuma sana toka jana
Daktari;-- Pole, utapona ulikula nini jana kabla ya tumbo kuaza kuuma?
Amina;- Pizza, keki, nyama choma na juisi
Daktari; Tafadhali sema Ukweli hapa ni Hospitalini sio Instagram au facebook.
Amina: maparachichi na ugali maharage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…