Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku kibiti folen hamna kabisa.

Sema nilikuja huko kwenu mjini kuchukua pembejeo za kilimo ila kwa sasa nipo njiani narudi kibiti mama[emoji23] [emoji23]

Karibu sana kwangu kibiti
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Mhh, Pata like zako, lakini hapa siyo mahali pake. Huu ni uwanja huru wa burudani. Baada ya machukizo ya siasa za kilofa watu hukimbilia huku kuburudika na kukwepa povu za siasa. kuna hatari ya kuanza kugeuza uzi huu mahali pa chuki na like za kibaguzi.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…