Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia aina ya kampaundi iliyo kwenye ngozi ya zabibu ziitwazo saponins hupunguza unywonyaji wa lehemu kutoka kwenye utumbo.
 
Kupunguza Hatari ya Kupata Saratani
Kama tulivyoona hapo juu kampaundi zinazopatikana ndani ya zabibu kama resveratrol ambazo husaidia kuondoa sumu zinazoweza kuleta saratani mwilini.
 
Matufaa yana Vitamini K, nyuzinyuzi za chakula pamoja na dawa-lishe (phytochemicals) aina ya quercetin flavonoid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…