Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh!Madhara ya chumvi.
Madhara makubwa yatokanayo na ulaji mbaya wa chumvi ni shinikizo la damu (blood pressure).
SawasawaNini kifanyike:
Muhumu kuzingatia kuwa kiwango salama cha chumvi kwa mtu mzima hutakiwa kula chumvi kiasi cha 500 milligram ambayo ni sawa na robo ya kijiko cha chai kwa siku ili kuweza kuepukana na matatizo yatokanayo na ulaji wa chumvi kwa wingi.
Wagonjwa Mungu awaponye [emoji120][emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Jioni iwe njema na ya amani [emoji120]