Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umebeba Tairi Kibao lakin Hakuna Hata Moja Inayokufaa Ili Uendelee Na Safari Ya Maisha. Hili Ni Funzo Kuhusu Marafiki, Ndugu, Masela, Mashosti Zako Wanao Kuzunguka Basi Nakushauri Katka Maisha Usikae Wala Usibebane Na Watu Ambao Ukiwa Umekwama Jaribu Au Pito Hawana Msaada.
 
Sijui Umebakisha Miaka Mingapi Au Miezi Mingapi Au Siku Ngapi Kuiaga Dunia, Lakini Muda Uliobakia Sasa Utumie Vizuri Kumcha Na Kumtumikia Mungu Wako,Dunia Hii Isikuhadae Ukaona Sasa Umefika Ukajikuta Kila Mahala Upoo Wewe,Kumbuka Hii Dunia Ni Njia Tunapita Leo Upo Kesho Haupo.
 
Simba sio mnyama pekee msituni ila ujasiri wake unampa kuwa Mfalme wa wanyama wengine mwituni.
Unaweza usiwe na alimu kubwa,unaweza usiwe na CV kubwa lakini tu ile kuwa mwenye haki kukakupa ujasiri kama wa simba wa kutokuogopa chochote wala yeyote.
Mungu akakupe ujasiri.
 
Tatizo ukiruhusu watu wakufikie kwenye maisha yako kwa nia nzuri ya kuishi na watu poa wengine wanapitiliza kukujua kuliko wewe mwenyewe na wengine watakuongelea mabaya kwasababu tu hauwapi nafasi
 
Kuna Muda Unaweza Kuwa Unafanya Vitu Vikubwa Sana, Tena Kwa Juhudi Kubwa, Ila Hakuna Anayesema 'Hongera' Au Ku Apprciate Tu, Kama Ni Huduma Hainunuliwi, Usife Moyo, Sio Kama Hawaoni, Wanaona Sana, Wanajua, Wanakufuatilia Sana, Wanakuzungumzia Sana, Ni Labda Wakti Haujafika Tu.
 
Jitahidi Walau Kufikia Saa Mbili Usiku Uwepo Nyumbani Chukua Biblia/vitabu vya Dini Pitia Pitia Vifungu Kadhaa Pata Chakula Cha Usiku Kisha Pumzika,Kwakufanya Hivyo Unajiepusha Na Hatarii Mbalimbali Usiku Unamambo Mengi Sanaa.
 
Unajiona wewe ni zaidi ya kila mtu na hufanyi kitu ila wenzio wanafanya bidii kila siku na wanafanikiwa unabakia kuonea watu wivu na kuwasengenya UTATESEKA sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…