Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Kupata angalau Mabusu matatu kwa siku inasaidia kuongeza kasi na kuboresha mfumo wa metabolism' (kitendo cha mwili kubadilisha chakula na maji kua nishati kwaajili ya matumizi mbalimbali mwilini
 
Tafiti: Wanaume 04 kati ya 10 hupatwa na huzuni kila baada ya kumaliza kufanya ngono, kwa mujibu ya utafiti kutokea Queensland University Of Technology, Australia. Sababu zinatajwa ni kama uchovu, kujutia n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…