antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kiungo wa zamani wa Manchester United Roy Keane anatajwa kuwania nafasi ya kukinoa kikosi cha Hibernian. (Times)
Asubuhi njema
Mungu atupe siku njema [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]