Habarini Wana Jamvi. Nimeamini kweli Mke Wa Mtu ni sumu jamani, lilichonikuta mwenzenu basi nimekoma. Picha Ilikuwa Hivi. Week Iliyopita Nilipata Dili Furani Kijijini, Baada Ya Kufika Kule Katika Harakati Za Maisha Si Nikakutana Na Mlembo Wa Kijiji? Mtu Mzima Nikaona Isiwe Taabu Mbona Mtoto...