Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane Rasmi amejiunga na mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich akitokea Liverpool kwa mkataba wa miaka mitatu. Mane ametua Bayern kwa dau linalokadiriwa kufika Euro milioni 41.
 
Unaambiwa kizaazaa kimetokea jijini Dar es Salaam ambapo baada ya mwanamke mmoja kufiwa na mumewe, ndugu wameanza kugombea kumrithi mjane ambaye mwenyewe hataki. Mkasa mzima umejadiliwa katika Kipindi cha Katambuga ambapo wanaume wenye tabia hiyo wameonywa kuachana nayo hasa katika zama hizi ambazo kuna maradhi mengi ukiwemo Ukimwi
 
πŸ€”πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…