Zuhuraz JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 510 Reaction score 422 Jun 23, 2022 #1,332,361 Awabariki na kizazi chenu chote na nchi yetu ifane
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,365 Zuhuraz said: Asubuhi njema wana likes [emoji106] Click to expand... 🖐️🖐️
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,366 Zuhuraz said: Mwenye Enzi Mungu awabariki siku ya leo Click to expand... Amen
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,367 Zuhuraz said: Mwenye Enzi Mungu awalinde na shari za aina zote Click to expand... Amen
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,368 VYAKULA
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,369 Vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,370 Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,371 Awali kulikuwa na tatizo la utapiamlo na sasa ni kinyume chake, watu kunenepa kupita kiasi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,372 Ingawa hakuna vyakula vya miujiza, umuhimu wa kula mlo kamili hauwezi kupingwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,373 Hili ndilo jina moja ambayo inashughulikia mahitaji yote ya mtu binafsi ya virutubisho tofauti:-
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,374 wanga, protini, mafuta, madini, vitamini na maji.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,375 Wakati huohuo inatupa nishati tunayohitaji, si zaidi au pungufu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,376 Ndani ya usawa huo, hivi karibuni vimegunduliwa virutubishi na vitu fulani vilivyo kwenye chakula ambavyo hufanya kazi kama kinga na kuboresha afya.
Ndani ya usawa huo, hivi karibuni vimegunduliwa virutubishi na vitu fulani vilivyo kwenye chakula ambavyo hufanya kazi kama kinga na kuboresha afya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,377 Pamoja na hayo, katika Chuo Kikuu cha Valladolid (Hispania) tumechapisha hivi punde kitabu "Vyakula 101 vya afya vya kuwa navyo nyumbani ".
Pamoja na hayo, katika Chuo Kikuu cha Valladolid (Hispania) tumechapisha hivi punde kitabu "Vyakula 101 vya afya vya kuwa navyo nyumbani ".
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,378 Baadhi ya vyakula hivyo ni:
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,379 Nyanya
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 23, 2022 #1,332,380 Kati ya mbogamboga zote, nyanya ni muhimu sana kuainishwa.