Kitunguu pia ni kizuia-uvimbe cha asili, kwahiyo kampaundi imara zilizopo kwenye kitunguu zinaweza kupunguza uvimbe unaohusiana na matatizo ya ngozi kama acne.
Kijiko kimoja cha mezani cha juisi ya kitunguu ikiambatana na kijiko kimoja kilichojaa majimaji ya tangawizi, vikimezwa mara tatu kwa siku, inaweza kuamsha hamu ya kujamiiana.
Hata matatizo ya anemia yanaweza kupunguzwa kwa ulaji wa vitunguu sambamba na Jaggery ( imetokana na miwa pamoja na tende) na maji kwasababu huongeza kiasi cha madini kwenye mwili, hasa madini joto (iron), ambayo ni sehemu muhimu katika uzalishaji wa seli hai nyekundu za damu.
Kwanza kabisa utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ili uweze kufundisha vyema, hili litakuongezea kiwango kikubwa cha maarifa.