Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kula nafaka zisizokobolewa kama unga wa dona, mchele wa brauni, unga wa ngano usiokobolewa, mtama na ulezi..
 
Hakikisha uwiano wa urefu na uzito wako (BMI- Body -to-Mass Index) ni sahihi ambayo ni 18 -25 kwa mzima mzima na mwenye afya nzuri unashauriwa kuwa na uwiano wa 21-23.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…