D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nimeligundua hilo, ila jamaa hana maneno ya shombo anapokejeliwa na TTCL yakeDaah huu mtandao wamekaa kizaman sana. Aliyekujibu kule Seoul kuhusu ttcl pesa naona ni wakala wao humu kila ukiongelea ttcl anaibuka๐๐๐๐
Ni kama huku koromije,zantel kuipata mtihani mzito
SawasawaMla cha uchungu na tamu hakosi.
Aisee..Kahawa ya bei ghali zaidi duniani inazalishwa kutokea kwenye kinyesi cha Tembo. Kg 1 huuzwa kwa $2,000 sawa na Tzs. Milioni 4.7.
Aisee!Wanaume wana uwezo mzuri zaidi wa kuvumilia njaa kuliko Wanawake kwa mujibu wa Utafiti uliofanyika nchini Marekani.
Kabisa..Tafiti: Watu wenye muonekano mzuri huwa hawadumu kwenye uhusiano wa kimapenzi. Moja ya sababu inayotajwa ni wanakua na machaguo mengi hivyo hupata changamoto ya kulinda uhusiano mmoja kudumu kwa muda mrefu!
AmenMungu atupe afya na uzima ๐
AmenMungu atupe amani na upendo..