myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiiii sana Embe..Huweza kuzuia saratani
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa pectin inayopatikana kwenye maembe huvuruga utendaji kazi wa galectin 9 ambayo hupatikana kwenye seli za saratani
KIFUNGO,JELA..GEREZANI.
Ule ya kutoshiba..Maembe ni matamu sana
Sawasawa.Huboresha mmeng’enyo wa chakula
Embe lina enzyme ambazo husaidia katika uvunjwaji na uchakatwaji wa protini mwilini. Pia kama nilivyosema pale awali kuwa embe lina nyuzinyuzi ambazo ni muhimu katika kumeng’enya chakula.
Sasa mkuu kuna timu hapa bongo yenyewe inasema ni kubwa Africa kisa imefika robo final ya CAF ina comment vipi hapo??[emoji3][emoji3]Timu kubwa ni zile zilizowai kuchukua ubingwa wa uefa. Hizo zote ulizitaja ni timu ndogo
Hiyo iliyofika robo fainali Africa ni kubwa kwasababu hakuna timu ya Tanzania iliyochukua huo ubingwa. Sasa utasemaje arsenal au man city ni timu kubwa wakati haijawai kuchukua ubingwa wa uefa. Hapo england timu kibao tu zimechukua huo ubingwa. Kuanzia Nottingham forest, man u, Liverpool, na wengineSasa mkuu kuna timu hapa bongo yenyewe inasema ni kubwa Africa kisa imefika robo final ya CAF ina comment vipi hapo??[emoji3][emoji3]