myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πNot everything that counts can be counted. And not everything counted really count- "Albert Einstein"
ππNot everything that counts can be counted. And not everything counted really count- "Albert Einstein"
SawaWakati mwingine katika maisha kitu pekee tunachohitaji ni sekunde chache za matumaini, na ujasiri wa kufuata kile tunachoota!
SawaWathamini wale wanaokupenda. Wasaidie wanaokuhitaji. Wasamehe waliokuumiza. Wasahau wanaokuacha.
SawasawaKesho bora ipo kwenye mioyo yetu. Inatupa furaha tukiifikiria na tukitazama mbele kwa matumaini. Hata kama hii ya sasa haifanani na hiyo lakini ujasiri wetu upo katika ile tunayoingoja. Kwahiyo isiwepo hofu tena, wala huzuni wala sononeko na kila mtu afurahi akitazama mbele.
πππKila siku ni ukurasa mpya katika kitabu cha maisha. Andika hadithi yako kwa wino wa matumaini, furaha, na upendo
Furaha na upendo kwa kila mwanadamuKila siku ni ukurasa mpya katika kitabu cha maisha. Andika hadithi yako kwa wino wa matumaini, furaha, na upendo
Upendo βοΈKila siku ni ukurasa mpya katika kitabu cha maisha. Andika hadithi yako kwa wino wa matumaini, furaha, na upendo
πMatumaini ni upendo pekee wa maisha . -Henri Frederic Amiel
ππTunachukiana kwa sababu tunaogopana tunaogopana kwasababu hatujajuana hatujuani kwasababu tunatengana dunia ni nzuri walimwengu hawana maana
SawaMwisho wa siku jifunze namna ya kuishi kwa amani inayotokana nawe mwenyewe
SawaMwisho wa siku jifunze namna ya kuishi kwa amani inayotokana nawe mwenyewe
βοΈβοΈWafanyakazi wana madai kadhaa ambayo pengine tunatarajia serikali itoe neno angalau kupunguza changamoto kwenye maeneo yao ya kazi
SawasawaMungu anapotaka kukutumia kufanya mambo makubwa kwenye maisha, huwa haangalii KILE AMBACHO HAUNA bali HUWA ANAANGALIA KILE AMBACHO UNACHO bila KUJALI kina UDOGO KIASI GANI_ hicho kidogo ulichonacho unachokidharau ndio KIMEBEBA UKUU WAKO!!!!
SawaSiku kama hii ilikuwa inatumika kupima tija ya wafanyakazi kwenye maeneo mbalimbali ya kazi