Mama naomba usimjibu mtu,unaumwa,sawa? Kwani wale ng'ombe kumi ulio wataja walikuwa wa nini mama? Tusifukue makaburi mama,lalaaaaMweh, nilikuwa nimechukuliwa na nani jmn?
Shimba mkuu upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Mapenzi Matamu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Eeeeeeeee!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata wewe
Kiatu kina kuwa dawaBaniani mbaya, kiatu chake dawa.
Bro vipi? Mambo gani hayo unapewa na Carba? Tujuzane bro [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️huyu mrembo mambo anayonipa aisee I don't see myself popote
Nashukuru kusikia hivyo mana yasemekana umemkimbia mumeo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatujaachana
Why somebody else?Why me
Mkuu nAmpenda Sana huyu bint SanaWoyo
Pole sana karibu tenaNawamis sana, siku mbili hz nimekuwa nasumbuliwa na homa ndio maana naingia humu kwa kusua sua sana
Eti nimempa ujumbe akuletee ndo anauliza hivyo[emoji23] [emoji23]Mzee bora ulewe tu stress ulizo nazo ni nyingi sana
Mweh, nilikuwa nimechukuliwa na nani jmn?
HahahahahaIngekuwa ni kweli wanaume wa Kiafrika wangekuwa hawafi mapema [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah nikipona ntajibu maswali yako yote, we yatunze tuMama naomba usimjibu mtu,unaumwa,sawa? Kwani wale ng'ombe kumi ulio wataja walikuwa wa nini mama? Tusifukue makaburi mama,lalaaaa
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mungu akanyooshe mkono wa uponyaji juu yako,uamke ukiwa na afya njema.Kwa jina la Yesu,naomba yote haya,mapenzi yake yakapate kutimia.AmenNawatakia usiku mwema wapendwa
[emoji23] [emoji23] anastress yule[emoji173] [emoji173]Yaani anavyo dhani twaweza achana mm ndo nakupenda Sana..[emoji173] [emoji172] [emoji173] [emoji171]
Thot that means ThursdayAti nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unamtisha??Sawa mkuu,najua baada ya kuzunguka bucha zoooote,kwa carba umefunga breki,yaani nyama imenona.Kwamba imenona kweli kweli sio ndiyo??? Kwamba wengine hatuitamani hiyo kuionja kisa mamikopa kopa yako eeeee? Jiangalie sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Wabongo utawaweza wewe?Kila ninapoenda neno muhenga ndo limetawala