myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe ✔️Mwanangu Dunia haijawahi kuwa tamu kwa Mnyonge,Magumu ya maisha hayapaswi kukufanya ukate tamaa,Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa hakuna yeyote atakaekuja kukutia moyo kwenye Mazito ya Maisha yako.
Ujumbe huoMagumu mengine tunayoyapitia sio kwa ajili ya kutuangamiza ni sehemu ya maisha yanakuja kama fursa ya kukua na kujifunza
Muhimu piaMagumu mengine tunayoyapitia sio kwa ajili ya kutuangamiza ni sehemu ya maisha yanakuja kama fursa ya kukua na kujifunza
SawasawaKubali kwamba umepoteza lakini usikubali kwamba hutoweza tena mtangulize MUNGU kisha pambana.
✅️Hutoweza kumfurahisha kila mtu. Usijaribu kumfurahisha kila mtu kamwe haiwezekani. Kuwa mwaminifu kwako na kwa wale ambao ni muhimu kwako tu
✅️✅️Hutoweza kumfurahisha kila mtu. Usijaribu kumfurahisha kila mtu kamwe haiwezekani. Kuwa mwaminifu kwako na kwa wale ambao ni muhimu kwako tu
✅️✅️✅️Magumu mengine tunayoyapitia sio kwa ajili ya kutuangamiza ni sehemu ya maisha yanakuja kama fursa ya kukua na kujifunza
📌📌Magumu mengine tunayoyapitia sio kwa ajili ya kutuangamiza ni sehemu ya maisha yanakuja kama fursa ya kukua na kujifunza
✅️Magumu mengine tunayoyapitia sio kwa ajili ya kutuangamiza ni sehemu ya maisha yanakuja kama fursa ya kukua na kujifunza
Ujumbe muhimu sanaMwanangu Dunia haijawahi kuwa tamu kwa Mnyonge,Magumu ya maisha hayapaswi kukufanya ukate tamaa,Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa hakuna yeyote atakaekuja kukutia moyo kwenye Mazito ya Maisha yako.
🙏🙏🙏MUNGU Akutibu kila kinachokuumiza,aondoe maumivu yako,hofu yako Matatizo uliyonayo na akupe Afya njema,Furaha na Amani
SawaTulipokuwa tuna shida walitukimbia kwasababu ya shida zetu na MUNGU katuinua,wameanza kusema tumetoka nao mbali sana
🙏🙏MUNGU Akutibu kila kinachokuumiza,aondoe maumivu yako,hofu yako Matatizo uliyonayo na akupe Afya njema,Furaha na Amani
✔️✔️Usiwatafute,Endelea kujitafuta,Ukijipata utaona wanakutafuta.
Sahihi kabisaTulipokuwa tuna shida walitukimbia kwasababu ya shida zetu na MUNGU katuinua,wameanza kusema tumetoka nao mbali sana
KweliTulipokuwa tuna shida walitukimbia kwasababu ya shida zetu na MUNGU katuinua,wameanza kusema tumetoka nao mbali sana
🙏🙏🙏Vumilia kwa yale unayopitia hata kama unaumia,Giza haliwezi kutanda milele Jua litachomoza na Nuru mpya itaangaza,MUNGU anawapenda sana walio na SUBIRA
🙏🙏🙏Vumilia kwa yale unayopitia hata kama unaumia,Giza haliwezi kutanda milele Jua litachomoza na Nuru mpya itaangaza,MUNGU anawapenda sana walio na SUBIRA
👍👍Usitafsiri Maisha yako kwa Magumu unayopitia utamkufuru MUNGU.Bali tafsiri maisha yako kwa Mazuri ambayo unategemea kuyaona Mbeleni
✔️✔️MUNGU Akutibu kila kinachokuumiza,aondoe maumivu yako,hofu yako Matatizo uliyonayo na akupe Afya njema,Furaha na Amani