Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."

Usihuzunike pindi unapodhulumiwa, jitahidi sana uwe na uvumilivu, kwa sababu mapenzi ya Mungu yamekufanya uwe mwenye kudhulumiwa na sio mwenye kudhulumu."

Kwenye maisha unapofurahia na kushangilia ushindi, usisahau kujipanga kwa changamoto inayofuata. Kila ushindi huvuta jaribu. Hakuna mteremko usiofuatiwa na kilima." ~