myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Tai hawali mzoga. Hula mawindo yasiyolala(freshi).
MAANA: Usitegemee mafanikio yako ya kale(jana), endelea kutafuta maeneo mapya ya kuteka. Iache historia yako huko ilipo, zamani.

✅️✅️Tai hawali mzoga. Hula mawindo yasiyolala(freshi).
MAANA: Usitegemee mafanikio yako ya kale(jana), endelea kutafuta maeneo mapya ya kuteka. Iache historia yako huko ilipo, zamani.
SawasawaTai hawali mzoga. Hula mawindo yasiyolala(freshi).
MAANA: Usitegemee mafanikio yako ya kale(jana), endelea kutafuta maeneo mapya ya kuteka. Iache historia yako huko ilipo, zamani.
NakubalianaTai wanaona kwa usahihi mkubwa. Wana uwezo wa kufokasi kwenye kitu tokea umbali wa kilomita 5. Haijalishi aina ya kikwazo, tai hataondoa macho yake kwenye windo lake hadi pale atakapolikamata.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.
KweliTai wanaona kwa usahihi mkubwa. Wana uwezo wa kufokasi kwenye kitu tokea umbali wa kilomita 5. Haijalishi aina ya kikwazo, tai hataondoa macho yake kwenye windo lake hadi pale atakapolikamata.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.
📌📌Tai wanaona kwa usahihi mkubwa. Wana uwezo wa kufokasi kwenye kitu tokea umbali wa kilomita 5. Haijalishi aina ya kikwazo, tai hataondoa macho yake kwenye windo lake hadi pale atakapolikamata.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.
SawaKanuni Sita za Uongozi Tunazoweza Kujifunza Kutoka kwa Tai
1. Tai huruka peke yao na tena anga za juu. Hawaruki na kunguru, mwewe au ndege wadogo.
MAANA: Kaa mbali na watu wenye mitazamo midogo(dhaifu), wale ambao hukuangusha chini. Tai huruka na tai wenzake. Kaa kati ya watu bora.
✅️✅️✅️Tai wanaona kwa usahihi mkubwa. Wana uwezo wa kufokasi kwenye kitu tokea umbali wa kilomita 5. Haijalishi aina ya kikwazo, tai hataondoa macho yake kwenye windo lake hadi pale atakapolikamata.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.
NakubalianaKanuni Sita za Uongozi Tunazoweza Kujifunza Kutoka kwa Tai
1. Tai huruka peke yao na tena anga za juu. Hawaruki na kunguru, mwewe au ndege wadogo.
MAANA: Kaa mbali na watu wenye mitazamo midogo(dhaifu), wale ambao hukuangusha chini. Tai huruka na tai wenzake. Kaa kati ya watu bora.
📌📌📌Kanuni Sita za Uongozi Tunazoweza Kujifunza Kutoka kwa Tai
1. Tai huruka peke yao na tena anga za juu. Hawaruki na kunguru, mwewe au ndege wadogo.
MAANA: Kaa mbali na watu wenye mitazamo midogo(dhaifu), wale ambao hukuangusha chini. Tai huruka na tai wenzake. Kaa kati ya watu bora.
✔️Tai hawali mzoga. Hula mawindo yasiyolala(freshi).
MAANA: Usitegemee mafanikio yako ya kale(jana), endelea kutafuta maeneo mapya ya kuteka. Iache historia yako huko ilipo, zamani.
✅️✅️Usipambane ili KUIGA mitindo ya MAISHA ya WATU pambana KUBORESHA uhalisia Wako....
📌📌Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hushindwa kumpeleka kwa kasi na kumpandisha juu kama atakavyo. Hii humfanya kuwa dhaifu na huweza kumsababishia kifo. Hivyo huenda kupumzika mbali milimani. Akiwa huko, hunyofoa manyoa yote dhaifu mwilini mwake na huvunja mdomo wake kwenye mawe na makucha yake kwenye miamba hadi pale anapobakia mtupu kabisa; ni mchakato wenye kumwaga damu nyingi na maumivu makali. Kisha hubakia huko mafichoni hadi pale anapoota manyoya mapya, mdomo mpya na kucha mpya, kisha hutokea akiruka juu kuliko awali.
MAANA: Tunawiwa mara kadhaa kuachana na tabia za kale bila kujali ugumu uliopo katika kuziacha, mambo yanayotuwia mzigo au vitu ambavyo haviongezi thamani katika maisha yetu vinatakiwa kuondoka.