myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaWatu wa mwanzo kutumia miswaki ni kutokea Misri (3500BC), walikua wanatumia vijiti ambavyo vilikua vinasagwa mwishoni ili kupata kitu mfano wa mfagio.
Lakini aina ya miswaki tunayotumia sasa inatajwa iliboreshwa zaidi na muingereza William Addis mwaka 1780.
✅️✅️Ocean Quahog ndiye mnyama aliyethibitishwa kisayansi kuwa aliishi kwa muda mrefu zaidi duniani. Alizaliwa mwaka 1499 na kufa mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 507.
Inaaminika kuwa aliuawa na wanasayansi waliovunja gamba lake bila kujua kuwa bado yupo hai wakati wanataka kumchunguza
AiseeOcean Quahog ndiye mnyama aliyethibitishwa kisayansi kuwa aliishi kwa muda mrefu zaidi duniani. Alizaliwa mwaka 1499 na kufa mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 507.
Inaaminika kuwa aliuawa na wanasayansi waliovunja gamba lake bila kujua kuwa bado yupo hai wakati wanataka kumchunguza
SawaJapan: Matoleo ya simu zote zenye uwezo wa kupiga picha, huwezi kuondoa/kuzima mlio wa sauti wa upigaji picha (shutter sound).
Utaratibu huo uliwekwa ili kuzuia upigaji picha holela hata katika sehemu ambazo hautakiwi kufanya hivyo!
SawasawaTafiti: Miaka milioni 620 iliyopita, siku moja ilikua inakamilika ndani ya saa 21.9
AiseeJon Brower Minnoch, ndiyo mtu pekee mpaka sasa aliyewahi kuthibitishwa kuwa na uzito mkubwa zaidi. Wakati anarekodiwa alikua na uzito wa kg 635.
Lakini baadae alifanikiwa kupunguza kg 419 na kuweka rekodi pia ya uzito mkubwa zaidi kuwahi kupunguzwa na binadamu
InawezekanaTafiti: Kuweka akiba ya pesa kunaongeza ubora zaidi wa usingizi!
📌📌📌📌Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu;
- Kufilisika.
- Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
- Kifo cha mzazi.
- Kuvunjika moyo (heart broken).
- Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.
📌📌Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu;
- Kufilisika.
- Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
- Kifo cha mzazi.
- Kuvunjika moyo (heart broken).
- Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.
SawasawaMaisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako
InawezekanaTafiti: 61% ya wagonjwa wa saratani, huonesha kuwa na tatizo la kutokusamehe pia.
AiseeAnorexia ni moja ya tatizo kwenye afya ya akili ambayo hutajwa kuwa na hatari mara 04 zaidi ya depression.
Anorexia huathiri saikolojia, ambapo mtu hupatwa na uoga unaomfanya kupunguza ulaji wa chakula kwa kiasi kikubwa kwa kuhofia kuongezeka uzito au kupata mabadiliko ya mwili.
✔️✔️Maisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako