myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
βοΈππUsikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
Sawa kabisaUsikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
SawaMaisha ni kama baiskeli; ili kuendelea mbele, unahitaji kuendelea kupanda.
SahihiUsikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
πNukuu ni kama mwanga katika giza; zinatuongoza kwenye njia sahihi.
ππIkitoke Mtu kakujibu vibaya jitahidi tu kumuelewa na kumsamehe, Kuna time watu wanapitia mambo yasio Elezeka
πππNi watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
πβοΈπNi watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
βοΈππNi watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
SawaNukuu ni kama mwanga katika giza; zinatuongoza kwenye njia sahihi.
βοΈβοΈπMawazo yako yanaweza kubadilisha maisha yako. Fikiri kwa makini.
βοΈπβοΈπKatika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
βοΈβοΈπKatika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
ππKatika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
πIkitoke Mtu kakujibu vibaya jitahidi tu kumuelewa na kumsamehe, Kuna time watu wanapitia mambo yasio Elezeka
πππUkweli Haushindwi hata kama una tabia ya kuchelewa.
ππ€²Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
SahihiKusoma sio kuelimika bali Uelewa na Upeo wamtu na kujitambua ndio akili yenyewe
ππ€²Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
ππUnaweza kuanguka na kushindwa lakini hakikisha unainuka na kushinda