Angalia unaona nini[emoji41] [emoji41] [emoji41] nimevaa tayari(miwani)
Maisha haya yanatufanya twende popote kuhemea mkuu. Nahesabu siku kwa makini kwa sababu mashamba yangu ya nyanya na dengu yananisubiri Koromije mkuu. Kwa Trump huku mambo tight hata wanaoishi huku sijui wanaishije. Panachosha!Ooh SHIMBA bado yupo Maryland kwa bwana yuleee mbabe
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119]nimekujacarbamazepine hebu ukuje huku weye
Sijaona glass.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu rudia jibu lako nisikie
Zimwi likujualo, halikuli likakuisha.
Kiboko ni mamba kiboko kweli kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kiboko na mamba nani kiboko?[emoji38][emoji38]