myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaNi rahisi sana kwetu kutokuona thamani ya kitu wakati kikiwepo. Ni rahisi zaidi kuona thamani ya kitu kikikosekana."
Sawa kabisaUaminifu ni Gharama Sana Sio Kila Mtu Anaweza Kuwa Nao.
Ujumbe huu muhimuWajibu wowote wa mwanadamu katika jamii unaambatana na kupoteza sehemu ya uhuru wake. Kadri unavyoongeza wajibu, ndivyo unapunguza uhuru wako
KweliAliyekutelekeza msituni Hana Haki yakujua walicho kufanya Mbwa Mwitu
📌📌Ukitaka kujua huna hela wala akiba ya kutosha ugua au uguza. Kuugua na kuuguza kunaweza kupukutisha mfuko na akaunti kuliko starehe." ~Togolani Mavura.
📌📌📌Subira ndio busara, ila subiri kwa malengo." ~Togolani Mavura.
👍👍👍"Kama mafanikio yako yanategemea kuumiza wengine, tambua kuwa anguko lako nawe lipo karibu." ~Togolani Mavura
📌📌Iko tofauti ya kusikiliza na kusikia. Si kila mwenye uwezo wa kusikia anaweza kusikiliza. Kusikiliza ni kipawa na pia stadi (skill) ambayo mtu hujifunza." ~Togolani Mavura.
📌📌📌Katika safari za maisha ya watu, kwa wengine wewe ni kituo, wengine wewe ni stendi na wengine wewe ni kichaka cha 'kuchimbia dawa' njiani.Muhimu ni kujua nafasi yako na aina ya fursa unazoweza kufaidika nazo kwa nafasi yako.Jitahidi usiwe kichaka cha 'kuchimbia dawa'. Jiongeze!"
👍👍👍Huwezi kujua umuhimu wa kitu hadi utakapopata nafasi ya kukimiliki.
AiseeMaradhi yote ugua lakini muombe Mungu akuepushe na ugonjwa wa wasiwasi. Ni ugonjwa rahisi kukuingia, mgumu kukutoka.
Kweli kabisa hiliAcha kutoa toa ushauri kwa watu, Huo ushauri wako anza Kuufanyia kazi Wewe Mwenyewe.
✔️✔️Hali ya kutaka uonekane tajiri usipoicha Itaendelea Kukuongezea Umaskini
✔️✔️Mara nyingi chakula kikiisha kwenye bakuli ulilolia chakula watu usema Bakuli ni chafu
SawasawaSamehe wakati unamachozi ya kuonewa na kudhuulumiwa Haki yako, Uone Mungu jinsi anavyo jibu Kwa Haraka.
✅️✅️Maisha yalipofikia kwa sasa, Yaani mtu anaye daiwa Ndio Anakua Mkali Kuliko Anaye Dai Haki Yake.
✅️✅️✅️Maisha yalipofikia kwa sasa, Yaani mtu anaye daiwa Ndio Anakua Mkali Kuliko Anaye Dai Haki Yake.
✅️✅️✅️Acha kutoa toa ushauri kwa watu, Huo ushauri wako anza Kuufanyia kazi Wewe Mwenyewe.