Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pesa ina nguvuuu..“Pesa inakupa uhuru wa kuchagua. Watu hawatafuti pesa ili wawe matajiri, wanatafuta pesa ili wawe na uwezo wa kuchagua.” - Trevor Noah
Sawa..Ukijipata usiruhusu watu wakupangie namna ya kuishi kama kwenye magumu ulikuwa peke yako
Mafanikio ni mmimi mwenyewe.“Mafanikio hayatokani na shule au chuo ulichosoma. Mafanikio yanatokana na wewe mwenyewe.” - Dave Ramsey
Sawasawa..Mungu akikupa nafasi ya pili usiipoteze kwa kuwahusisha waliokupotezea nafasi ya kwanza
Nakubali..Muda mwingine usisubiri pongezi kutoka kwa watu, jitahidi kujipongza mwenyewe kwa kila hatua unayoipiga.
SawaJifunze kukubali kukataliwa, hii itakusaidia sana