myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa"Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"
Sahihi na hiliUkimya ni silaha yenye nguvu. Kujua wakati sahihi wa kunyamaza kunaweza kukuokoa na matatizo mengi yasiyo ya lazima. Si kila hali inahitaji majibu wakati mwingine, ukimya husema zaidi kuliko Maneno.
Umri mkubwa bila mafanikio......!!Unaweza kuwa na umri mkubwa usiwe na mafanikio. Unaweza kuwa namafanikio usiishi umri mkubwa. Unaweza kuwa na ndoa usiifurahie na unaweza kutamani sana ndoa usiipate. Mwombe Mungu package nzima ya baraka. Hii hapa itakusaidia
SawasawaNjia bora ya kupata umakini wa watu ni kuacha kuwapa umakini wako
Asante..Jifunze kukubali kukataliwa, hii itakusaidia sana.