myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hatukuletwa duniani ili tupate starehe, tumeletwa hapa kujaribiwa.Starehe ya kweli utakula PEPONI.!
Nakubaliana na hiliPESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"
🙏🤲Hatukuletwa duniani ili tupate starehe, tumeletwa hapa kujaribiwa.Starehe ya kweli utakula PEPONI.!
📌📌📌PESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"
✔️✔️✔️Moja ya nyakati ngumu kwenye maisha ni kuamka hauna dira ya maisha wala uhakika wa kula unaweza kujinyonga ila usikate tamaa toka kapambane Mungu anajua fungu lako lilipo.
✅️✅️✅️Jihadharini na mwili wako wa kimwili. Akili unalisha nini. Usijiharibu mwenyewe!Makini na akili yako. Iendeleze kwa maelezo ya ubora. Usiipoteze kwenye junks!Muhimu zaidi, makini na roho yako. Ni dira ya mwisho kwa maisha yako!
👍👍👍Moja ya nyakati ngumu kwenye maisha ni kuamka hauna dira ya maisha wala uhakika wa kula unaweza kujinyonga ila usikate tamaa toka kapambane Mungu anajua fungu lako lilipo.
SawasawaMtazamo wa Mtu Usikupoteze dira yako ya MAISHA.
👍👍Jitume hakuna mafanikio bila juhudi jitahidi kwa kila unalofanya usikate tamaa changamoto ni sehemu ya maisha zikumbatie na uendelee kusonga mbele malengo ni dira bila malengo ni rahisi kupoteza mwelekeo.
Sawasawa ✔️Jenga dira ya maisha yako hivi sasa, Pale unakokutaka kuwa,Na hivi sasa jione tayali umefanikiwa ,Najua unaweza hakuna lisilowezekana chini ya Jua, Achana na watu wenye fikra finyu. Kufanya ulaumu elimu yako,Kukufanya ujilaumu kwa hali yako
✅️📌Jitume hakuna mafanikio bila juhudi jitahidi kwa kila unalofanya usikate tamaa changamoto ni sehemu ya maisha zikumbatie na uendelee kusonga mbele malengo ni dira bila malengo ni rahisi kupoteza mwelekeo.
📌📌📌Jihadharini na mwili wako wa kimwili. Akili unalisha nini. Usijiharibu mwenyewe!Makini na akili yako. Iendeleze kwa maelezo ya ubora. Usiipoteze kwenye junks!Muhimu zaidi, makini na roho yako. Ni dira ya mwisho kwa maisha yako!
✅️✅️✅️Jenga dira ya maisha yako hivi sasa, Pale unakokutaka kuwa,Na hivi sasa jione tayali umefanikiwa ,Najua unaweza hakuna lisilowezekana chini ya Jua, Achana na watu wenye fikra finyu. Kufanya ulaumu elimu yako,Kukufanya ujilaumu kwa hali yako
👍👍👍Ni kweli wazazi na ndugu wana matarajio muhimu juu ya elimu yako ila hakikisha unakua na mipango sahihi huku ukimkabithi MUNGU dira ya maisha yako.Jitambue na usivutwe kwenye shimo baya na marafiki mliokutana kisa ELIMU.
NatambuaTambua kuwa unayo nguvu ya kufanya maamuzi yanayoelekeza maisha yako. Usiruhusu hali za nje au watu wengine wawe na udhibiti kamili wa maisha yako. Tafuta dira yako ya maisha na uifuatilie kwa uthabiti.
Kweli kabisaNjia bora ya kupata umakini wa watu ni kuacha kuwapa umakini wako.
Sahihi na kweliUnachokifanya leo ndicho kitakachoamua maisha yako ya baadae
Nakubaliana na hiliJIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE
Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe
Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
Napambana."Uhalisia wa maisha yako unaujua mwenyewe, UMASIKINI wetu uwe ndio MOTIVE kwako katika kupambana zaidi ili kuyafikia malengo yako"