myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaLENGO LA KIIMANI: Kurudi kwa muumba wako, kutubu na kujikurubisha kwake, kusafisha na kuwa huru. Kupunguza kufanya madhambi na kuongeza matendo mema, shukrani, ukarimu na upole. Kufanya ibada na kuongeza maombi.
Umakini kwa kila jambo3. Usipokuwa makini kwenye kujua unachokitafuta basi utaishia kukimbiza vitu ambavyo havikuhusu
4.Hakuna asiyependa kufanikiwa ila wengi tunaishia kwenye kuota ndoto, baadhi wanakwama Kwenye mchakato, na watu wachache sana ndio wanajitoa na kupambana kwa jasho kupata mafanikio
Sawasawa 🙏🙏LENGO LA KIIMANI: Kurudi kwa muumba wako, kutubu na kujikurubisha kwake, kusafisha na kuwa huru. Kupunguza kufanya madhambi na kuongeza matendo mema, shukrani, ukarimu na upole. Kufanya ibada na kuongeza maombi.
AiseeKuona umecherewa katika maisha kwa kuangalia maisha ya watu wengine
Hili nalo muhimuHakuna mtu ambae hawezi kuishi bila ya wewe ni basi tu upendo wake kwako ni wa kweli. Hivyo basi ukimuona mtu anakupenda kweli na anakujali mshukuru mungu na kisha mzingatie,mlinde na usimchukulie poa,kwasababu watu wa aina hiyo huwa hawarudi kwenye maisha ya mtu mmoja mara mbili
Usiruhusu uumizwe na jambo moja mara mbili
Sawa kabisa"Uhalisia wa maisha yako unaujua mwenyewe, UMASIKINI wetu uwe ndio MOTIVE kwako katika kupambana zaidi ili kuyafikia malengo yako"
✅️✅️✅️Jenga dira ya maisha yako hivi sasa, Pale unakokutaka kuwa,Na hivi sasa jione tayali umefanikiwa ,Najua unaweza hakuna lisilowezekana chini ya Jua, Achana na watu wenye fikra finyu. Kufanya ulaumu elimu yako,Kukufanya ujilaumu kwa hali yako