cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mzima!?Wageni wote karibuni. Hapa ni Post na Like tu
Silipizi ila inabidi niwe mwanafunzi inaweza tokea mkulima kajichanganya kulima miwq karibu na shuleUnalipiza sio?[emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona kuna kampeni chafu dhidi yangu,nafikiri chanzo ni nsamaka,kila siku andjul kafanya hiki mara kile, nimefikiria sana,nimeona nichukue maamuzi japo ni magumu na yatawakwaza watu.Kuanzia leo nasema "nsamaka nakupenda sana na sipo tayari kukuacha"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawakomesha.Wanakuonea eeh?
Wageni wote karibuni. Hapa ni Post na Like tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo mkomesho ni mzuri sanaNaona kuna kampeni chafu dhidi yangu,nafikiri chanzo ni nsamaka,kila siku andjul kafanya hiki mara kile, nimefikiria sana,nimeona nichukue maamuzi japo ni magumu na yatawakwaza watu.Kuanzia leo nasema "nsamaka nakupenda sana na sipo tayari kukuacha"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawakomesha.
Ukipata hilo shamba la miwa niite nione unavyovuna [emoji23][emoji23][emoji23]Silipizi ila inabidi niwe mwanafunzi inaweza tokea mkulima kajichanganya kulima miwq karibu na shule
Muonekano wa keyboard yangu baada ya kuachwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajuaje kama siingii gharama?Una muuguza wewe? Wee mzee vipi!!! Hebu kaendelee kuimba pambio huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upweke mbaaayaaaa unarukia hata pasipo rukiwa [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji375]Sio unyemelezi huyu hayupo serious .
Ataki kutoa matunzo kwa mtoto mzuri.
Anadhani tunapenda kila siku emoji zetu za kukimbia kimbia na kucheka hazibadili zaidi ya hapo.
Zinakimbia hadi zimetoa ulimi maana hazipumziki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ngoja sisi tuliokifungoni tuchukue mtoto ajue hali ya huku vipi
HahahahaUnajuaje kama siingii gharama?Una muuguza wewe? Wee mzee vipi!!! Hebu kaendelee kuimba pambio huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upweke mbaaayaaaa unarukia hata pasipo rukiwa [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji375]
Mmenionea sana nyie vijana....Zizi langu limekuwa la kujifunzia ukware[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hqhaahhaja