myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaUsiache kujipenda na kujijali
✅️Kama umezungukwa na watu TOXIC, wanalaumu sana, wanalalamika sana, wanakushutumu, wanakuzushia uongo
Ujumbe muhimuWapende wanaokuja maishani mwako na heshimu maamuzi ya wanaoondoka kwenye maisha yako,kumbuka si kila mtu uliyeishinae kwa muda mrefu basi atakuwa na wewe daima,na sio kila uliyempenda ataishi na wewe milele. Jifunze kukubali kuachwa,kukataliwa na kuwa disappointed utapona haraka
KweliFurahia kila nyakati uliyonayo kwasababu haujui dakika wala saa ambalo utaondoka duniani
KweliUsiishi na kinyongo, samehe na achilia, watu wanakufa kila dakika siku hizi usisubiri ujute kwenye msiba wake
NakubalianaUsiache kufanya ibada, andaa kesho yako bcoz hii dunia tunapita tu
Ujumbe muhimuwatu wengi hutumia fedha zao kwa hisia na si kwa akili na huishia kwenye kujutia na madeni, kumbuka ya kwamba "UNATUMIA FEDHA AMBAYO HAUNA KWENYE VITU AMBAVYO HAUVIHITAJI ILI UWAVUTIE NA KUWAKOMESHA WATU AMBAO HAWANA MUDA NA WEWE"Shindana kwenye kutafuta na si kwenye matumizi
👍👍.Shukuru na ufurahie kila dakika unayoipata katika maisha yako, kwasababu ukitoka nyumbani salama na ukarudi salama ni mafanikio makubwa zaidi ya vitu ulivyovitamani na ukavikosa
SawasawaWAKATI MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO NI WAKATI ULIONAO SASA HIVI
1. Usifikirie sana kuhusu yaliyopita kwasababu hakuna utakachoweza kubadilisha zaidi ya kuhuzunika
✅️✅️WAKATI MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO NI WAKATI ULIONAO SASA HIVI
1. Usifikirie sana kuhusu yaliyopita kwasababu hakuna utakachoweza kubadilisha zaidi ya kuhuzunika
📌📌KWENYE HAYA MAISHA NI MUHIMU SANA KUJITAMBUA, KWASABABU;
1.Ukipoteza fedha muda upo utatafuta utapata nyingine
✔️✔️9. Na ukipoteza uhai basi ujue hauna nafasi nyingine ya kurudi tena duniani
✅️✅️✅️8.Ukiipoteza thamani yako,utajo wako na uhalisia wako ujue umepoteza kila kitu,hautajua dira ya maisha yako,hautajua unahitaji nini
AISEEILA
7.Ukipoteza afya ni gharama kubwa kuirudisha au haitarudi km zamani
Kweli kabisaILA
7.Ukipoteza afya ni gharama kubwa kuirudisha au haitarudi km zamani
NakubalianaUsifikirie sana ulivyovipoteza hautaona thamani ya ulivyonavyo na mwishowe navyo vitakuponyoka
Tamaa mbaya..UKIWEZA KUIDHIBITI TAMAA UTAISHI KWA AMANI
1.Tamaa husababisha mtu kuwa na msongo wa mawazo,kwasababu mtu mwenye tamaa hupenda sana kujilinganisha na maisha ya watu wengine na kuishia kufadhahika.
Nasoma sana mimi. Soma sana vitabu upate maarifa mapya na uweze kuikuza akili
SawasawaUKIWEZA KUIDHIBITI TAMAA UTAISHI KWA AMANI
1.Tamaa husababisha mtu kuwa na msongo wa mawazo,kwasababu mtu mwenye tamaa hupenda sana kujilinganisha na maisha ya watu wengine na kuishia kufadhahika.
✔️✔️✔️Tamaa humfanya mtu ajione hana kitu na kuishia kutamani walivyokuwanavyo wengine