Katika maisha tenda mema kwa wengine bila kutegemea malipo. Matendo mema huleta furaha na utoshelevu wa ndani. Kujali wengine na kusaidia jamii yako ni njia nzuri ya kujenga uhusiano mzuri na kuleta maana kwenye maisha.

Kwenda mbinguni haitokani na matendo mema ya kutosha au kupitia njia nyingine yoyote ile. Bali Inahusu kukubali zawadi ya bure ya Mungu ya wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.

Watu wanaweza kuharibu taswira yako, kuharibu utu wako, kuunda uvumi juu yako lakini hawawezi kukuondolea mema yako. Kwa sababu hata wakueleze vipi, utasifiwa na wanaokujua zaidi.

Maisha ni daftari ambalo halichaniki endapo utalitunza vizuri, inamaana kuwa matendo mema ya binadamu huwa hayafutiki hata atakapofariki mazuri yatazungumzwa tu, USIACHE KUWA MTU MWEMA