Siku bora zaidi maishani mwako ni ile ambayo unamua kuwa maisha yako ni yako mwenyewe. Hakuna kuomba radhi wala visingizio. Hakuna wa kumtegemea, kumlaumu, au kumwekea mzigo. Zawadi ni yako, ni safari ya ajabu, na wewe pekee ndiye unayeajibika kwa ubora wake.