Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sio kila aliye mbele yako amekutangulia unapokwenda na sio kila anayekuja kwa kasi nyuma yako anakukimbiza... katika barabara ya maisha, njia ni moja lakini kila mtu ana safari yake... usije kuacha safari yako ukakimbizana na za wenzako, UTAPOTEA!!
 
Katika safari ya maisha unaoanza nao ni muhimu sana kama utakaokutana nao katikati na utakaomaliza nao uzeeni. Si wote unaoanza nao utamaliza nao na utakaomaliza si lazima ndio ulioanza nao. Safari ya maisha yako ni yako, wengine kila mtu na apande na kushukia kituo chake
 
Maisha ni safari yenye changamoto nyingi, lakini kila changamoto huja na fursa ya kujifunza kitu kipya

Tusiogope kushindwa, bali tuhakikishe kila kushindwa kunatufundisha somo jipya na kutusukuma kuwa bora zaidi
 
Maisha ni kuhusu kujifunza, kugundua na kujivunia kila hatua, Maisha ni safari ya kujifunza ambapo kila hatua ina thamani yake.
 
Maisha ni safari yenye milima na mabonde,
Vita tunapigana, lakini hatufai kuachwa.
Moyo usikate tamaa, ingawa mawingu ni mazito,
Mwangaza utakuja, baada ya giza kuwa nene.
Simama, hakikisha hupotei, kesho yako ni yako!
 
📌📌
 
✔️✔️
 
Kama kuna kazi ngumu kuifanya kwenye safari ya maisha haya ni kujikabili. Maumivu ya kukubali kuwa saa nyingine sisi ndio tatizo kubwa linalohitaji kushughulikia ndiyo yanayofanya kazi hii iwe ngumu kupindukia.
✔️✔️✔️
 
Maisha ni safari yenye milima na mabonde,
Vita tunapigana, lakini hatufai kuachwa.
Moyo usikate tamaa, ingawa mawingu ni mazito,
Mwangaza utakuja, baada ya giza kuwa nene.
Simama, hakikisha hupotei, kesho yako ni yako!
 
Maisha yana tabia ya kukurudishia kile kile unachotoa. Ukiwa mtu wa hasira utakutana na watakaokukasirisha. Ukiwa mtu wa amani, maisha yanakukutanisha na watakaokupa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…