myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Maisha ni safari, na kila siku ni fursa mpya. Usikate tamaa kwa changamoto za jana, bali jifunze kutoka kwao na endelea na nguvu mpya. Kila hatua ndogo inakupeleka mbele.
Fanya kila siku kuwa ya maana na uwe na imani katika mchakato wa maisha..
✔️✔️✔️Ukiwa mtu wa majungu, dharau na kushushua watu, utakutana na hao hao watakaokupiga majungu, watakaokushushua na kukudharau. Ukiwa mtu wa kuheshimu utu wa watu na kustahi faragha zao, maisha yanakurudishia heshima na staha. Unapata kile kile unachowatendea wengine —na kuzidishiwa
SawaTunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa. Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu inaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa
✅️✅️Maisha ni mzunguko wa furaha na changamoto, yote ni ya muda. Furahia nyakati nzuri, vumilia changamoto, na kumbatia kila hatua. Maisha ni ya thanani na mafupi, yanapita haraka sana.
✔️✔️✔️Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.
✅️✅️✅️✅️Safari Yako Ya Mafanikio Itajawa Mitihani Mingi Sanaa, Utapita Katika Msitu Wenye Miiba Mikali, Jua Na Mvua Vyote Ni Vyako.Usiogope Na Kuona Kama Ndio Sababu Yako Ya Kushindwa Kuendelea Na Safari. Kadri Giza Linapozidi Basi Amin Kuwa Ndipo Kuna Karibia Kupambazuka "Usikate Tamaa"
👍👍Safari Yako Ya Mafanikio Itajawa Mitihani Mingi Sanaa, Utapita Katika Msitu Wenye Miiba Mikali, Jua Na Mvua Vyote Ni Vyako.Usiogope Na Kuona Kama Ndio Sababu Yako Ya Kushindwa Kuendelea Na Safari. Kadri Giza Linapozidi Basi Amin Kuwa Ndipo Kuna Karibia Kupambazuka "Usikate Tamaa"
👍👍Maisha yetu ni kuitafuta maana. Maana ya uwepo wetu duniani, maana ya hatma yetu duniani, maana ya masuala mengine kama rizki, mapenzi na furaha, hali kadhalika, maana ya kukosa na maana ya kupata. Maana ndio masumbuko yetu makuu na wanaotupa maana wanayakamilisha maisha yetu!"
👍👍Nidhamu katika maisha ya leo inaweza kubadili ubaya wote wa jana na kukupa kesho iliyobora na yenye kutamaniwa na wengi.
Hakuna maumivu yasiyokuwa na funzo na mafunzo hayo ndiyo humbadili mtu.
Kweli kabisaKuna wakati maisha yanatukumbusha uhai ni zawadi
Maisha ni daftari lenye kurasa mbili ambazo tayari zimeandikwa na Mungu. Ukurasa wa kwanza ni KUZALIWA, na ukurasa wa mwisho ni KIFO. Kurasa za katikati zipo tupu kwa hiyo zijaze kwa TABASAMU na UPENDO.
👍👍👍Nikuambie tu maisha ndiyo haya haya na furaha ya kweli haipo kwenye mali, usisubiri mpaka uwe tajiri ndiyo uwe na furaha, kila siku ukiamka salama shukuru Mungu ni neema tu na zawadi umeamka salama.
Kumbuka tulikuja watupu na hakuna tutakachoondoka nacho.
👍✔️👍Nidhamu katika maisha ya leo inaweza kubadili ubaya wote wa jana na kukupa kesho iliyobora na yenye kutamaniwa na wengi.
Hakuna maumivu yasiyokuwa na funzo na mafunzo hayo ndiyo humbadili mtu.
SahihiMaisha yana namna mbili za kukujaribu na kuonyesha wewe ni mtu wa namna gani.
1. Kukunyima kila kitu (nafasi/mafanikio)
2. Kukupa kila kitu (nafasi/mafanikio)
Hii muhimu pia"Hujafa hujaumbika" inaweza kuonekana ni Methali tu ya Kiswahili, lakini ina uzito mkubwa. Kamwe tusihukumu wala kukosoa uumbaji wa Mungu, nyakati, au safari ya maisha ya binadamu mwenzako. Kila mmoja yuko katika safari yake, na hatujui kesho yako itakuwaje.
✔️✔️👍MAISHA ni Safari ipende na ufurahie safari yako mwenyewe bila kuilinganisha na ya mtu mwingine yeyote. Utakata tamaa na kuishia njiani safari ya kila mtu ni ya kipekee na tofauti.
SawasawaSafari ya maisha ni simulizi ndefu sana, usimuone mtu anavaa suti leo na anapanda ndege, badala ya kumchafua, muulize amefikaje?Ndio maana Mungu aliamua suala la rizki libaki kwake maana angetuachia siye binadamu tungeweza kunyimana kwa jinsi tulivyo na chuki, wivu na hasidi.
✔️✔️✔️Maisha ni safari, sio shindano. Furahia kila hatua unayochukua na ujifunze kutoka kwa kila uzoefu.Jifunze kutoka kwa kila hatua, kwani kila moja inakufanya kuwa bora zaidi!
✔️✔️👍Maisha ni safari yenye changamoto, lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua na kufanikiwa. Siri ya mafanikio ni kujiamini na kuwa na nia thabiti ya kusonga mbele hata pale mambo yanapokuwa magumu.